Habari za Michezo kote Ulimwenguni

Powered by Blogger.

Rasmi Bwalya atua Simba

Kiungo wa Kimataifa kutoka Zambia, Larry Bwalya amejiunga na timu ya Simba kutoka Power Dyanamos.

Bwalya anakuwa mchezaji wa tatu wa Kimataifa kujiunga nasi baada ya Bernard Morrison na mlinzi wa kati Joash Onyango aliye tambulishwa jana  kutoka Gor Mahia ya Kenya.

Nyota huyu anakuwa raia wa pili wa Zambia kucheza kwenye kikosi chetu baada ya Clatous Chama ambao wote wapo timu ya Taifa.

Mpaka sasa wachezaji wapya ambao tumewasajiri ni Bwalya, Onyango, David Kameta na Charles Ilamfia

Popular Posts