Mlinzi wa kati Ibrahim Ame amesaini mkataba wa miaka mitatu kukitumikia kikosi cha Simba akitokea Coastal Union ya Tanga.
Ame anaingia kwenye kikosi kikosi akiwa na changamoto ya kugombea namba na wakongwe Erasto Nyoni na Pascal Wawa pamoja na Kennedy Juma aliye kwenye kiwango bora.
Ame anakuwa mchezaji wa tano mpya ndani ya kikosi chetu mpaka sasa baada ya Bernard Morrison, David Kameta 'Duchu' Larry Bwalya, Joash Onyango na Charles Ilamfia