Habari za Michezo kote Ulimwenguni

Powered by Blogger.

JOASH ATUA, ASAINI MIAKA MIWILI


Baada ya kuwasili jijini Dar es Salaam akitokea Gor Mahia ya Kenya, mlinzi Joash Onyango amesaini mkataba wa miaka miwili kutumikia timu ya Simba.
Onyango ambaye ana uwezo wa kucheza nafasi zaidi ya moja kwenye idara ya ulinzi anaongeza nguvu ambapo atakuwa akisaidiana na Pascal Wawa, Erasto Nyoni na Kennedy Juma kutengeneza ukuta. Onyango anakuwa mchezaji wa tatu kutokea Gor Mahia kujiunga nasi baada ya Medie Kagere na Francis Kahata. Safu ya ulinzi ni eneo ambalo limekuwa na changamoto hivyo uongozi umeanza kulitafutia ufumbuzi kwa ajili ya msimu ujao.

Popular Posts